NEWS

Picha: Ziara ya washiriki wa Epiq BSS yafana Dodoma

WASANII wa Muziki wa Kizazi Kipya walioshiriki shindano la kuimba la Epiq Bongo Star Search, Norman, Husna, Menina, Wababa, Geofrey na Walter jana walionyesha wao ni moto wa kuotea mbali baada ya...

—————

Prezzo aondoka Nigeria kufuatia vitisho anavyopokea baada ya kifo cha Goldie

Baada ya kwenda Nigeria kukutana na aliyekuwa mpenzi wake marehemu Goldie Harvey na kukutana na habari mbaya ya kifo chake, rapper Prezzo amelazimika kuondoka nchini Nigeria kurejea nyumbani nchini...

—————

Picha za Kim Kardashian alipotua Lagos, Nigeria

"Thank you for the amazing time Nigeria! I can't wait to come back soon," ametweet Kim Kardashian baada ya kumaliza show iliyopewa jina la Love Like a Movie iliyofanyika jana jijini Lagos Nigeria....

—————

Utafiti: Wanaume waliooa wanawake wenye mshiko zaidi yao huathirika kisaikolojia wakati wa tendo la ndoa

Source: Gazeti la Mwananchi (Feb, 16) WANAUME waliooa wanawake wenye mishahara mikubwa au vyeo kuwazidi wao, huathirika kisaikolojia wakati wa tendo la ndoa na wengi wao hutoka nje ya ndoa. Utafiti...

—————

Drake akataliwa kuingia club kwakuwa Chris Brown alikuwa ndani

Club moja ya usiku huko Hollywood, Marekani ililazimika kumkatalia Drake asiingie ndani kwakuwa tayari Chris Brown alikuwa ameingia. Vyanzo vimeuambia mtandao wa TMZ kuwa mabaunsa wa club hiyo...

—————

Kumbe Goldie alikuwa ameolewa! Mume apost picha za ndoa yao

Mwanaume aitwaye Andrew Harvey, anayedai kuwa amemuoa msanii wa muziki nchini Goldie Harvey aliyefariki juzi usiku amejitokeza na kupost picha za ndoa na mahaba wakiwa pamoja. Andrew alishare picha...

—————

New Music: Nikki wa Pili ft. Joh Makini & G-Nako- Nje ya Box

Download na sikiliza wimbo mpya wa Nikki wa Pili aliomshirikisha Joh Makini na G-Nako, Nje ya Box hapa: https://soundcloud.com/mdau-halisi/nikki-wa-pili-ft-gnako

—————

Navio amlilia Goldie

Staa wa muziki nchini Uganda, Navio ni miongoni mwa watu walioumizwa zaidi na taarifa za kifo cha mwakilishi wa mwaka jana wa Nigeria kwenye shindano la Big Brother Africa, Goldie Harvey. Navio...

—————

Taarifa rasmi kuhusu kifo cha Goldie Harvey kutoka kwenye label yake

On behalf of Kennis Music, I’m sad to officially confirm the shocking and untimely passage of Nigeria’s pop star, Goldie Harvey. With a deep sense of loss, we announce the shocking death of our...

—————

Nahreel na Aika watoka na track yao, ni baada ya kujitoa Pahone

Baada ya kujitoa kwenye kundi la Pahone, Nahreel na mpenzi wake Aika wameachia ngoma yao iitwayo Usinibwage. Producer huyo maarufu nchini na aliyekuwa member wa kundi la Pahone na Aika wamejitoa...

—————

Mzungu Kichaa: Nipeni support kwa kuitangaza Bongo Flava nchini Denmark

Mwanamuziki raia wa Denmark, Espen Sørensen aka Mzungu Kichaa amewataka mashabiki kuendelea kumuunga mkono katika jitihada zake za kuutangaza muziki wa Bongo Flava nchini Denmark. Mzungu Kichaa...

—————