NEWS

Vote for PRETTY GIRL Music Video to advance in the Global Finals

Wassup Fans; Vote for my music video PRETTY GIRL to go on the Global Rockstar Final in Austria. Use #Twitter or #Facebook to vote. Follow this Link to VOTE...

—————

NEW MUSIC (Audio) 360 KWA MWAKA-JanB & OBI

Rapper wa Tanzania JanB anayefanya muziki wa Pop/House/Techno amerejea tena na ngoma mpya ya Hip Hop aliyomshirikisha Obi Elinami. 360 kwa Mwaka ndo jina la ngoma na imetengenezwa na Tinox...

—————

NEW SONG (AUDIO) KAZI-SALMIN SWAGGZ feat SHAH BANG

Ngoma mpya ya SALMIN SWAGGZ feat SHAH BANG KAZI. Unaweza kuisikiliza na kuipakua hapa: www.hulkshare.com/upload_legacy.php //JANB MULTIMEDIA    

—————

NEW MUSIC (AUDIO) TANGANYIKA GIRL-Washington,Respect,Sat-B & J.I

Sikiliza ngoma mpya TANGANYIKA GIRL & RESPECT za SAT-B, WASHINGTON & J.I. Nyimbo zote zimefanyika Bukiv Label ya Djay Jackson na kutengenezwa na Washington jijini Stockholm nchini Sweden. Ni...

—————

Maambukizi ya VVU (HIV) 2011/2012-TANZANIA

Data za TACAIDS kuhusiana na maambujkizi ya VVU (HIV) kwa mwaka 2011/2012: Mikoa 10 inyoongoza kwa maambukizi ya VVU (HIV): 1. Njombe (14%) 2. Iringa (9.1%) 3. Mbeya (9%) 4. Mara (7.5%) 5. Ruvuma...

—————

Prof CHINUA ACHEBE AFARIKI

Mwandishi mkongwe wa vitabu toka nchini Nigeria. Prof. Chinua Achebe amefariki dunia akiwa nyumbani kwake huko nchini Marekani alipokuwa akiishi akifundisha Brown University . Prof. Chinua Achebe...

—————

MakallaWaUkoo MIXTAPE

Coming soon ni "Makalla wa Ukoo" Mixtape check out tha tracklisting Hapa 1 MakallaWaUkoo & JCB ft Banx & Lavost-Be Yourself 2 MakallaWaUkoo & Chindo ft Keneh-Snitch 3 MakallaWaUkoo &...

—————

NEW MUSIC (AUDIO) ONE AT A TIME

Listen & DownLoad "Banx Masebo Gentriez Wizzo & ManBatoo-One at a Time" here: www.hulkshare.com/xxr6tidluvwg proudly Brought to your attention by GoodNation & Noizmekah Production...

—————

NEY WaMITEGO azinguana na NIKKI MBISHI

Inaonekana lile bifu kati ya Ney waMitego na Nikki Mbishi limeibuka tena na kufikia mahala pabaya sana. Jana jioni kupitia BBM, rapper wa Tanzania Nay WaMitego anayetamba ngoma yake mpya MUZIKI GANI...

—————

KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2013

Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013 zimezinduliwa leo rasmi ikiwa ni pamoja na uzinduzi wa nembo yake na kusaini mkataka na BASATA wa udhamini kwa miaka mitano. Mdhamini mkuu ni kampuni ya bia...

—————

BRAND NEW HIT (AUDIO) JanB feat SAYEN-WAN' ME

Listen and download brand new Song WAN' ME by JANB feat SAYEN. It's SWAHILI POP/HOUSE. Produced & Recorded at THE MOOD HOUSE RECORDS in Stockholm-Sweden. Listen and Download here:...

—————