NEWS

FIFA YAWASILISHA KUSUDIO LA KUIFUNGIA TANZANIA.

Shirikisho la Kimataifa la Vyama vya Mpira wa Miguu (FIFA) limesema litaifungia Tanzania iwapo itabainika kuwa Serikali imekuwa ikiingilia shughuli za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).FIFA...

—————

Big Brother Africa 2013 Auditions Announced

AfricaMagic is on the lookout for Big Brother Africa’s new Housemates, and one of them could be you. Open Auditions will be held in the following countries on the following days: Botswana, Cresta...

—————

New Song PRIDE DOWN by Eslyne

Kwa muonekano wa ghafla waweza dhani hivyo tokana na mfanano fulani wa sura au labda pozi la picha, labda tufatilie kwa undani yawezekana kuna undugu tusioufahamu kati yao but in the mean time fanya...

—————

New Music-Si Kwamba by Lady Yoo

Mwanadada Yolanda aka Lady yoo ana mengi sana mwaka huu 2013 kwa maana FemCee huyu anaewakilisha vema pande za Sanawari Arachuga amekwisha kamilisha collabo track mpya na msanii "YungOmega" wa River...

—————

A mother & Her Son in Nigeria want to marry and Expecting their child!

Mtandao mmoja kutoka nchini Naigeria TALK OF NAIJA leo umeandika habari kuhusu mama na mwanae ambao wameamua kuwa wapenzi na kufikia uamuzi wa kutaka kuoana kabisa. Mpaka sasa mama mzazi wa mtoto...

—————

Tamasha la ukumbusho wa Vita vya Majimaji Tanzania

Maadhimisho ya Tamasha la Kumbukizi ya Vita vya Majimaji na Utalii wa Utamaduni Kitaifa yamekuwa yakiadhimishwa kila mwaka tarehe 27 Februari, Mkoani Ruvuma kuanzia mwaka 2010.  Dhana ya...

—————

New Music-Badspenders

Wamerudi tena Vijana toka ChugaCity na brand new joint waloipa jina HighWay wakishirikiana vema na Wanadada wawili wakali wa kuimba toka Arusha ,May C wa "RudGals" pamoja na Keneh wa "Miles Away"...

—————

—————

Bobby Brown ahukumiwa kwenda jela kwa kosa la kuendesha gari akiwa amelewa

Bobby Brown amehuhumiwa kifungo cha siku 55 jela. Staa huyo mwenye miaka  44 alipatakina kwa kosa la kuendesha akiwa amelewa (DUI)  na pia kwa kuendesha ilhali leseni yake imeshikiliwa na...

—————

Wema Sepetu ashangazwa na wingi wa email anazopata baada ya kuanzisha kampuni na kutangaza ajira

Hivi karibuni Miss Tanzania wa zamani, Wema Sepetu alizindua rasmi ofisi za kampuni yake iitwayo Endless Fame Films zilizopo maeneo ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam. Uzuri wa ofisi zake unadaiwa...

—————

Picha za mazishi ya Goldie

Hatimaye aliyekuwa mwakilishi wa Nigeria katika shindano la Big Brother Africa mwaka, Goldie Harvey amezikwa jana. Mazishi hayo yaliyohudhuriwa na watu wa karibu wa familia yake yamefanyika bila ya...

—————