NEWS

Kim Kardashian na Kanye West wapozi ‘utupu’ kwenye jarida la L'Officiel Hommes la Ufaransa

Kim Kardashian na mpenzi wake Kanye West wamepiga picha za utupu zitakazoonekana kwene jarida la Ufaransa la L'Officiel Hommes Katika picha hiyo black and white Kanye anaonekana akiwa amemshika...

—————

Bonta azungumzia sababu za matokeo mabovu kidato cha nne

Rapper wa Nauza Kura Yangu, Bonta amekuwa msanii mwingine wa Hip Hop nchini kutoa sauti yake kufuatia matokeo mabaya ya kidato cha nne mwaka jana. Amesema matokeo ya kidato cha nne mwaka huu ni...

—————

Kanye West audiss wimbo wa Justin Timberlake aliomshikisha Jay-Z, 'Suit & Tie'

Kanye West ameudiss wimbo wa Justin Timberlake uitwao Suit and Tie aliomshirikisha Jay-Z na kusisitiza kuwa haupendi. Timberlake alivunja ukimya wake wa miaka sita bila kutoa ngoma mwezi uliopita kwa...

—————

Steve Nyerere awekwa lupango baada ya kusababisha ajali

Movie mpya ya Msanii wa kuigiza sauti za Viongozi Steve Nyerere, iliyokuwa ianze kurekodiwa jana imeingia dosari baada ya msanii huyo kupata ajali na kuswekwa lupango katika kituo cha Polisi cha...

—————

Nyama Choma Festival - 2 March 2013, Kijitonyama, Dar es Salaam

Kwa mara nyingine tena lile tamasha la Nyama Choma limewajia tena. Litafanyika March 2 kwenye viwanja vya posta Kijitonyama jijini Dar es Salaam. Soma poster hiyo kwa taarifa zaidi.

—————

Mzungu Kichaa announces 'unplugged' spring tour in April & May 2013

Mzungu Kichaa has been selected to perform at the Danish showcase festival SPOT (www.spotfestival.dk) in May 2013. The tour also includes performances in Tanzania, Germany and the UK. Concert details...

—————

New Music Sina Hasara-Batoo feat DjMido

Batoo aka Rudbway aja na Riddim Ingine this tym anakwambia "Sina Hasara" akiwa amemshirikisha "DjMido" katika hii Jamdropa Project ilorekodiwa pande za noizmekah.com chini ya DefXtro. Download,...

—————

New Music Video DOLE-Mabeste feat Deddy

Check out brand new music video by Mabeste feat Deddy DOLE. Audio kutoka B-Hits na video kutoka Nisher Entertainment. www.youtube.com/watch?v=0ntu840j4Xs&feature=youtu.be //JanB Multimedia

—————

JCB afunga ndoa na mchumba wake Diana Jørgensen

Rapper wa Watengwa, JCB Makalla amefunga ndoa rasmi na mchumba wake Diana Jørgensen waliyezaa naye mtoto mmoja. Ndoa hiyo inayoonekana kuwa ya serikali imefanyika jijini Arusha wanakoishi na...

—————

Justin Bieber azitosa tuzo za Uingereza kwa kwenda shopping na Will.i.am

JUSTIN BIEBER  alizitosa tuzo za Uingereza (Brits Awards) jana usiku na kwenda kufanya shopping na will.i.am. Mashabiki wa Uingereza wa staa huyo walikuwa wakimtegemea kumuona live kwenye tuzo...

—————

Mume wa Goldie anyimwa visa ya kwenda Nigeria

Mipango ya Andrew Harvey – mume wa marehemu Goldie kuhudhuria mazishi ya mkewe weekend hii inaweza kukwama kutokana na ubalozi wa Nigeria nchini Uingereza kumtosa visa ya kuingilia nchini humo. Hata...

—————