NEWS

Muigizaji maarufu wa Nollywood Justus Esiri afariki dunia

Nollywood  na tasnia nzima ya burudani ya Nigeria imepata pigo baada ya kuondokewa na muigizaji mahiri na mkongwe wa filamu Justus Esiri. Esiri alifariki dunia juzi February 19, 2013. Miongoni...

—————

Diamond: Niko ‘booked’ hadi mwezi July

Staa wa Mbagala, Diamond Platnumz jana kupitia kipindi cha XXL cha Clouds FM alizungumzia masuala kadhaa yaliyokuwa yakisemwa juu yake likiwemo lile la kuwa siku hizi show zake zimeishiwa...

—————

Picha: Rihanna asherehekea birthday yake ubavuni mwa Chris Brown huko Hawaii

Jana ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya Rihanna ambapo alikuwa anatimiza umri wa miaka 25. Wapenzi hao waliorudiana siku za hivi karibuni waliamua kuitumia siku hiyo kula upepo mwanana wa bahari kwenye...

—————

New Music FieldFource-Hizo Pesa

Kundi chipukizi 3Skills wakazi wa FieldForce Kwa Mrombo Arusha kundi likiongozwa na Papaa Mugisha toka makole exagon,BabaNay toka Malola family na Kinyo toka Kino Side na ngoma ya mtindo wa Zouk hii...

—————

New Music 4R-Kutonipenda

Msanii chipukizi katika medani ya BongoFleva Ramadhan Jumanne aka 4R toka pande za Singida aja na nyimbo yake ya kwanza kabisa aloipa jina "Kutonipenda" ikiwa ni Zouk-rnb alorecodi studio za...

—————

Mwana FA afuata nyayo za AY kwa kuanzisha kampuni

Rapper Hamis Mwinjuma aka MwanaFA ameamua kuutumia ukongwe wake kwenye muziki kwa kuanza kusaidia wasanii chipukizi ambao watakuwa chini ya kampuni yake ya Life Line Inc. Hivi karibuni hitmaker huyo...

—————

Prezzo alipanga kumvisha pete Goldie siku aliyofariki!

Ni kweli Prezzo alichukua pipa hadi nchini Nigeria Alhamis iliyopita na inasemekana alipofika alikuwa akijiuliza maswali kwanini Goldie haendi kumpokea kabla hajafahamu kuwa amefariki. Inasemekana...

—————

Tigo Tanzania yatajwa kuwa brand inayofanya vizuri kwenye Facebook duniani

Tigo Tanzania imetajwa kuwa ni miongoni mwa brand za juu duniani zinazojituma zaidi kwenye mtandao wa Facebook kutokana na ripoti iliyotolewa na SocialBakers tarehe 7 February 2013. Ripoti hiyo...

—————

Diamond atoa ujumbe mzito kuhusiana na mama yake

Diamond anafahamika kwa jinsi alivyo karibu na mama yake. Kupitia Instagram jana msanii huyo amepost picha akiwa karibu na mama yake huyo na kuandika: "Vingi unaweza kuvipoteza na ukavipata vingine,...

—————

Mume wa Goldie adai ndoa yao ilibaki kuwa ya siri kutokana na kazi yake

Andrew Harvey, mume wa Uingereza wa marehemu Goldie, amesema hakuwa na tatizo na jinsi mke wake alivyokuwa akiishi na kudai kuwa yeye pia alimshauri awe controversial  kwasababu ni nzuri kwa...

—————

Zitto Kabwe: Matokeo mabovu ya kidato cha nne ‘kwanza waziri lazima awajibike na naibu wake’

Matokeo yaKidato cha Nne ya namna hii (zaidi ya nusu ya wahitimu kupata sifuri) na takribani asilimia 90 kufeli kwa kupata daraja la nne na daraja la sifuri ni mwaka tatu sasa mfululizo. Matokeo...

—————