NEWS

Solothang amchana Miss Tanzania kicheche

  Msafiri Kondo aka Solothang leo ameachia ngoma yake mpya iitwayo Miss Tanzania iliyotengenezwa na producer wa Tongwe Records J-Ryder. Katika wimbo huu Solothang anamzungumzia msichana...

—————

Frank Ocean aanika ukweli kuwa aliwahi kumpenda mwanaume mwenzie

  Mwanamuziki wa R&B Frank Ocean ambaye wengi wamemfahamu kupitia ngoma ya Kanye West na Jay-Z ‘No Church in the Wild’ kwa kuimba chorus bomba, ameamua kuanika hadharani kuwa aliwahi...

—————

Will.i.am amtetea Nicki Minaj kufanya Pop

  Producer na mwanamuziki wa kundi la Black Eyed Peas Will.i.am amemtetea Nicki Minaj  licha ya kukoselewa na baadhi ya wapenzi wa muziki kutokana na albam yake ya pili Pink Friday:...

—————

Chris Brown aomba diss track yake ichezwe mbele ya wana YMCMB

  Inaonekana kama story ya beef kati ya Chris Brown na Drake haiwezi kuisha leo. Kuna tetesi kuwa Chris yupo kwenye mission ya kumchokoza zaidi Drake ajibu diss yake “I Don’t Like” freestyle...

—————

Beyonce amkaushia Kim Kardashian kwenye BET Awards

Bila shaka baada ya kuziona picha za Beyonce na Kim Kardashian wakiwa pamoja na mabwana zao, Jay-Z na Kanye West utakuwa umefikiria kuwa akinadada hao sasa wamepatana! Ukweli ni kwamba bado Beyonce...

—————

AY aendesha kampeni ya kuwaomba watu wampigie kura Prezzo

  Rapper Ambwene Yesaya ambaye ni mshikaji wake wa karibu na Prezzo, anaendesha kampeni kali kwenye mtandao wa Twitter, akiwaomba watu mbalimbali wampigie kura Prezzo ambaye ametajwa...

—————

Rick Ross aachia single ya tatu kutoka kwenye 'God Forgives I Don’t

  Rick Ross jana, July 2, ameachia single ya tatu, Hold Me Back kutoka kwenye albam yake mpya God Forgives I Don’t.   Ngoma hiyo ambayo imetengenezwa  na producer Rico Love...

—————

UPCOMING MUSIC VIDEO SHOOTING

  We are looking for Professional House/Pop/Techno/Hip hop DANCERS for the upcoming MUSIC VIDEO in Early AUGUST 2012. Is your DANCE CREW based in Stockholm & you can real dance??! You...

—————

Tyrese, Ginuwine, na Tank waunda kundi, wamponda Usher na wengine kwa kuiharibu R&B

Muimbaji na muigizaji Tyrese Gibson ameonekana kuwarushia madongo wasanii wenzake akiwemo Usher na Chris Brown walioperform kwenye tuzo za BET kwa namna walivyoubadilisha muziki wa...

—————

Hermy, Ogopa na Rkay kupika ngoma za washiriki 10 wa TPF5

Washiriki wote 10 wa Tusker Project Fame msimu wa tano watakuwa na bahati ya kurekodi wimbo mmoja kabla ya kuondoka kwenye academy. Nyimbo hizo zitasimamiwa na record label kubwa duniani ya...

—————

Jay-Z, Kanye West na Beyonce watawala tuzo za BET

  Blue Ivy Carter ana uhakika wa kupata ‘vidude’ viiiingi vinavyong’aa vya kuchezea akiwa peke yake. Tuzo za BET zimefanyika alfajiri ya leo mjini Los Angeles na walioibuka na ushindi...

—————