Arusha wafunguka na Epiq BSS

 

Usaili wa shindano la EBSS 2012 umeendelea leo jijini Arusha ambapo machizi kibao wamejitokeza na kufunguka kujaribu bahati zao za kuiwakilisha Arusha mwaka huu.

Kama kawaida jiji hilo maarufu kwa hip hop ngumu na nyeusi halikuwa nyuma kuonesha ushiriki katika usaili huo,

Hizi ni miongoni mwa picha za matukio ya jana walipokuwa CLUB AQ