'Beef Kati ya Nikki Mbishi na Weusi'

'Beef Kati ya Nikki Mbishi na Weusi'

 

Sikiliza interviews za wana hip hop wa bongo ambao kwasasa kuna beef kubwa kati yao hapa namzungumzia Nikki Mbishi na Kundi la weusi ambapo linaongozwa na Nikki wa pili,Joh Makini,Bonta,Lord eyes na wengine kibao ambapo Nikki Mbishi ameonekana kufunguka mengi yaliokua yakimkwaza kuhusiana na kina Joh Makini na wenzake wote kutoka kundi la weusi.

Gonga News kusikilizia ilikuwaje na Ni nini Nikki Mbishi alizungumza

Habari kwa Hisani ya: Teentz.com