BEEP BEEP ya Marlaw ikiimbwa na TEENAGERS wakizungu Ughaibuni

Ushaiona hii kitu? Watoto wa kizungu wakiimba wimbo wa Kiswahili! Muziki wa kizazi kipya unazidi kupendwa sio tuu na watanzania pekee bali hata katika nchi za magharibi. Katika pekua pepua zetu mitandaoni JANBONLINE tumeweza kukutana na video clip ya kuvutia na kufurahisha ambayo inaonesha TEENAGERS wa Kizungu wakiimba wimbo wa MARLAW-BEEP BEEP. Iangalie hapa mabinti wakizungu wakifanya yao kwa kiswahili: www.youtube.com/watch?v=nG3_U1sZd0Y //JanB Multimedia