K-Lynn na Zitto Kabwe waipa shavu ngoma ya Kigoma All Stars

 

Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe na Miss Tanzania wa zamani ambaye pia ni mwanamuziki Jackline Ntuyabaliwe aka K-Lynn wamewapongeza wasanii wa wenye asili ya Kigoma kwa wimbo wao wa  uitwao Leka Dutigite.

Wasanii hao ni pamoja na Diamond, Chege Chigunda, Ommy Dimpoz, Baba Levo, Mwasiti, Linex na Rachel ambao wametoa wimbo huo wakijiita Kigoma All Stars.

 

‘Singing leka dutigiteee Kigomaaa,great song!’ ametweet Jackline.

 

Naye Zitto Kabwe amesema, “You make us proud. Very proud. ‪#LekaDutigite.”

Sikiliza/Listen this Swahili Hit ''LEKADUTIGITE'' : https://soundcloud.com/janbkiwia/lekadutigitekigomallstars