Mali za Marehemu Sharo Milionea Zapatikana

Baadhi ya Mali za Marehemu Sharo Milionea zimepatikana baada ya kuibiwa na baadhi ya Wakazi wa Tanga Punde baada ya kupata ajari ya Gari na kupoteza maisha siku chache zilizopita.