New Music 4R-Kutonipenda

Msanii chipukizi katika medani ya BongoFleva Ramadhan Jumanne aka 4R toka pande za Singida aja na nyimbo yake ya kwanza kabisa aloipa jina "Kutonipenda" ikiwa ni Zouk-rnb alorecodi studio za Noizmekah Arusha. anataraji kufanya ngoma nyingine inayokwenda kwa jina "Si ungeniambia".Kwa mawasiliano ya mahojiano, matamasha na mengineyo wasiliana na 4R kwa simu +255 766 141 566. Isikilize na kuipakua hapa: www.hulkshare.com/99bmzqq0c740/?force=1 //JanB Multimedia