NEW MUSIC (Audio) 360 KWA MWAKA-JanB & OBI

Rapper wa Tanzania JanB anayefanya muziki wa Pop/House/Techno amerejea tena na ngoma mpya ya Hip Hop aliyomshirikisha Obi Elinami. 360 kwa Mwaka ndo jina la ngoma na imetengenezwa na Tinox nakurekodiwa ndani ya The Mood House Records, Stockholm-Sweden, na kufanyiwa mixing Obi Elinami. Isikilize jam hii inayozungumia hustle za kila siku mtaani na changamoto na pia fanya kuipakua hapa;kisha Share na rafiki zako katika mitandao ya kijamii: www.hulkshare.com/fz8iktqfwp34 //JanB Multimedia