NEW MUSIC (AUDIO) TANGANYIKA GIRL-Washington,Respect,Sat-B & J.I

Sikiliza ngoma mpya TANGANYIKA GIRL & RESPECT za SAT-B, WASHINGTON & J.I. Nyimbo zote zimefanyika Bukiv Label ya Djay Jackson na kutengenezwa na Washington jijini Stockholm nchini Sweden. Ni dancehall Banger za hatari sanaaa. Enjoy ngoma izi kwa kuzisikiliza na kuzipakua hapa: www.hulkshare.com/upload_legacy.php //JANB MULTIMEDIA