NEY WaMITEGO azinguana na NIKKI MBISHI

Inaonekana lile bifu kati ya Ney waMitego na Nikki Mbishi limeibuka tena na kufikia mahala pabaya sana. Jana jioni kupitia BBM, rapper wa Tanzania Nay WaMitego anayetamba ngoma yake mpya MUZIKI GANI amemshushia matusi mazito rapper mwenzake NIKKI MBISHI..hiki ndicho alichokisema NAY........

 

Mpaka saivi NIKKI MBISHI ajazungumzia suala hili na uenda beef ili likafika mbali kama halitazimwa.

Swali ni je, beef kama izi zitaweza kuufikisha mbali mziki na wasanii wa muziki wa kizazi kipya wa Tanzania? //JANB MULTIMEDIA