Picha: Vanessa Mdee na Russell Simmons

 

MTV Base ikishirikiana na mtandao wa MTN, ina mradi wa kuwakutanisha watazamaji wa kituo hicho na role models wao kutoka sehemu mbalimbali duniani.

Tayari watu maarufu kama Alicia Keys na rais wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf wameshakutana na mashabiki wao.

Mtangazaji wa MTV Base kutoka Tanzania, Vanessa Mdee ameweka picha yake akiwa na mhasisi wa Def Jam Records, Russell Simmons na kuandika:

So.... MTV Base meets with MTN season 2 premieres in two days - this is a sneak peek at one of our leaders. No introduction necessary. Don't miss this season on MTV Base Africa 322 on dstv. Wed 8 30pm CAT.”