Picha za mazishi ya Goldie

Hatimaye aliyekuwa mwakilishi wa Nigeria katika shindano la Big Brother Africa mwaka, Goldie Harvey amezikwa jana. Mazishi hayo yaliyohudhuriwa na watu wa karibu wa familia yake yamefanyika bila ya kuwepo Prezzo. Hata hivyo mume wake Andrew Harvey alifanikiwa kupata visa ya kuingia nchini humo na kuhudhuria.