Prezzo asema amemiss ‘kupiga mikasi’

 

Baada ya kupona chupu chupu kwenye mkasi wa eviction jana, angalau leo Prezzo amepata muda wa kuzungumzia raha za dunia.

Jamaa anasema amemiss sana kupiga mikasi!

Kukaa kwenye jumba moja na watu usiowahamu kwa miezi kadhaa si jambo rahisi! Asubuhi ya leo Prezzo na Wati waliamua kupiga story kuhusu jinsi walivyomiss sex!

"Jana usiku nilikuwa naifikiria yenyewe tu. Kila muda niliojaribu kufunga macho yangu nilikuwa nikiona shori, alisema Prezzo.

Kwa mujibu wa Prezzo, huu ni muda mrefu katika maisha yake kukaa bila ‘kumchapa demu’.

Naye Wati anasema hajawahi kukaa muda wote huo bila kupiga mikasi tangu abalehe, "This is the longest I have gone without getting some action, since puberty."