T.I.D ndani ya Malaysia Saturday December 8th

Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya T.I.D aka Mnyamaa atakisanua ndani ya Malaysia barani Asia December 8th 2012 katika sherehe za maadhimisho ya Uhuru wa Tanzania. Mnyama huyo ni mmoja kati ya wasanii wakali nchini Tanzania na kwa sasa anatamba na wimbo wake mpya Kiuno aliomshirikisha rafiki yake wa karibu mwana chamber Mangwear. //JanB Multimedia