The World Highest Paid Musicians 2012

Iangalie list ya Wasanii wa muziki wanaolipwa pesa nyingi duniani katika kiwango cha mamilioni ya dola za kimarekani. Orodha hii imechapishwa katika jarida maarufu sana duniani la FORBES jana tarehe 28/November/2012. List ya wasanii 25 wanaoongoza ni kama ifutavyo;

1. Dr Dre ($110million)
2. Roger Waters ($88 million)
3. 3. Elton John ($80 million)
4. U2 ($78 million)
5. Take That ($69 million)
6. Bon Jovi ($60 million)
7. Britney Spears ($58 million)
8. Paul McCartney ($57 million, tie)
9. Taylor Swift ($57 million, tie)
10. Justin Bieber ($55 million, tie)
11. Toby Keith ($55 million, tie)
12. Rihanna ($53 million)
13. Lady Gaga ($52 million)
14. Foo Fighters ($47 million)
15. Diddy ($45 million, tie)
16. Katy Perry ($45 million, tie)
17. Kenny Chesney ($44 million)
18. Beyoncé ($40 million)
19. Red Hot Chili Peppers ($39 million)
20. Jay-Z ($38 million)
21. Coldplay ($37 million)
22. Adele ($35 million, tie)
23. Kanye West ($35 million, tie)
24. Michael Bublé ($34 million)
25. Sade ($33 million)

Source: www.forbes.com/sites/zackomalleygreenburg/2012/11/28/the-worlds-highest-paid-musicians-2012/ //JanB Multimedia