Upcoming Music Video-Cannibal

Jina la Cannibal sio geni kwa Africa mashariki, rapper huyu mwenye swaga za kinyamwezi kutoka pande za Mombasa ila kwa sasa akiwa Nairobaa na PREZZO. ''Cannibal'' soon atarelease video yake mpya na zoezi zima la shooting lilifanyika juzi jumapili, na video imesimamiwa na kampuni ya Boomba waliofanya She said dat ya Wyre. Hii itakua single ya pili kuwa released kutoka kwenye album mpya ya Cannibal ''The Chosen One'' . Matukio katika picha cheki nayo.

Kichupa kinatoka so soooon, kaa mkao wa kula! //JanB Multimedia