Uzinduzi wa Albamu ya Weusi Mikoa Ya Iringa na Morogoro

Uzinduzi wa Albamu ya Weusi Mikoa Ya Iringa na Morogoro

Show hii itakuwa pande za IRINGA siku ya tarehe 31 mwezi huu wa 3 katika ukumbi wa HIGHLAND HALL na kiingilio kitakuwa ni sh 10,000 tu,Baada ya Iringa watu wazima watadondoka pande za MOROGORO siku ya tarehe 1 mwezi wa 4 na kukinukisha katika ukumbi wa FOURSTAR CLUB kwa kiingilio cha 7000 tu