Vote for PRETTY GIRL Music Video to advance in the Global Finals

Wassup Fans; Vote for my music video PRETTY GIRL to go on the Global Rockstar Final in Austria. Use #Twitter or #Facebook to vote. Follow this Link to VOTE https://www.facebook.com/TheGlobalRockstar/app_150234091745704. Thanx and remember to share the link on your social networks.

 

Naomba muipigie KURA video yangu PRETTY GIRL iweze kuingia fainali katika haya mashindano yanayofanyika nchini Austria. Bonyeza VOTE chini ya wimbo wangu PRETTY GIRL-JanB feat Obi.
Unaweza kunipigia kura mara nyingi utakwavyo kila baada ya masaa 24. Mwisho wa kupiga kura ni tarehe 2 saa kumi jioni. Pia kumbuka kushare ujumbe huu ili na marafiki zako waweze kumpigia kura JanB.

Bonyeza Link hii kuweza kunipigia kura, fuata maelekezo jinsi ya kupiga kura kwa kutumia Facebook au Twitter
: www.facebook.com/TheGlobalRockstar/app_150234091745704 Asanteni sana:p