Wakazi wa Tanga Wamvua Nguo Sharo Milionea baada ya Ajali!

Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Songa Mabatini kilichopo kata ya Kwafungo wilayani Muheza, wanadaiwa kuiba fedha zote na mali za msanii wa muziki wa kizazi kipya na tasnia ya filamu nchini Tanzania Marehemu Hussein Ramadhani a.k.a Sharo Milionea nakumuacha akiwa na soksi na kaptula tuu mda mfupi baada ya ajali kutokea.

Msikilize Msanii Nguli katika tasnia ya filamu nchini Tanzania King Majuto na wengine wakizungumzia jinsi walivyoguswa na kifo cha Sharo Millionaire;pamoja na kitendo cha ndivyosivyo walichomfanyia marehemu baada ya ajali ikiwa ni pamoja na kuvuliwa viatu vyake, mali zote alizokuwa nazo kwenye gari na spea mbalimbali za gari alilokuwa anatumia. Angalia hii video clip ikiwa ni mahojiano maalumu na ITV: www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=hHQMaYu2z-0 //JanB Multimedia