ZERO Feat Mr Blue-Sikuelewi

 

New talent kwa jina la Zero kutoka Mkoani Morogoro. Ni masanii ambaye anauwezo wa ki-RnB kutoka mkoani Morogoro na joint mpya SIKUELEWI akimshirikisha Mr. Blue a.k.a Kabaisa. Ngoma hii imefanyika katika studio za Dirty Mode records chini ya Producer Triss; ndani ya week moja tangu kuachiliwa rasmi tayari imeshaanza kufanya vizuri kupitia vituo mbali mbali vya radio nchini Tanzania. Pia ukiachilia mbali Audio tayari msanii huyu ameshafanya VIDEO kali na kampuni ya Show Biz Defined chini ya Usimamizi wa director Mike Tee.

Unaweza DOWNLOAD na kusikiliza ngoma hii na maelezo zaidi kupitia link hii ya Dirty Mode Records. Listen and enjoy new joint here: https://dirtymoderecords.blogspot.se/2012/08/zero-ft-mr-blue-new-joint-released.html?m=1 //JanB Multimedia