About Us

 

Welcome To JanBonline!

 
JanBonline is a multipurpose and a sustainable online project catering within the music and entertainment industry. The website is committed for development endeavor and in promoting SWAHILI language and Tanzania's tourism around the world. Music and entertainment styled contents in general, will be used as tools to reach the wide range of the targeted audience by providing them with high value and complementally.
 
The project will further contribute on promoting JanB as an artist in music career to the international level and as a development activist. In return, the world will get to know who is JanB and the beauty of Tanzania together with a country's unique catching music ''BONGO FLAVA'' in Hip hop, RnB, Takeu, Afro-pop, Zouk/ Rhumba, Kwaito genres, and much more!!
 
We will be sharing some insights through Swahili and English language,and visitors will be updated about latest news, events, stories and new songs within this website as often as possible. It's just a matter of visiting various pages regularly or at least on daily basis. You are welcome / Karibu Sana :)

 

Karibu Kwenye JanBonline! 

 

JanBonline ni mradi jumuishi na endelevu, kwenye mtandao katika soko la muziki na burudani. Tovuti hii ina msimamo na jitihada za kimaendeleo na kuitangaza lugha yetu tamu ya KISWAHILI na utalii wa Tanzania dunia nzima. Maudhui ya muziki na burudani kwa ujumla yatatumika kama nyenzo ya kuwafikia kwa upana na uwanda zaidi watazamaji na wasikilizaji waliolengwa  hapa kwa kuwapatia hayo yote kwa ubora wa hali ya juu.

 

Mradi huu wa kipekee utachangia pia kumtangaza JanB kwa kiwango cha kimataifa kama msanii wa muziki, na vilivile kama mhamasishaji mtendaji wa masuala ya kimaendeleo. Hivyo, ulimwengu utakuja kumjua JanB na pia uzuri wa Tanzania na muziki wa ladha ya kipekee wa “BONGO FLAVA” katika hadhi ya Hip hop, RnB, Takeu, Afro-pop, Zouk / Rhumba, Kwaito, na mengi mengineyo!!

 

Vilevile, tutakuwa tunashirikiana katika kumaizi na kutambua mambo kupitia lugha za Kiswahili na Kiingereza; na watembeleaji wa tovuti hii watapashwa habari mpya kabisa, matukio, visa na nyimbo mpya, kila mara iwezekanavyo. Ni jambo la kusoma tu kurasa zetu mara kwa mara, kila siku ikiwezekana.  Karibu Sana :)