Cheche za TID zaifikia website ya Big Brother Africa!!

Katika kile kinachoonekana kusambaa kwa habari ya TID kuwa na nia ya kuiwakilisha Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa mwaka huu, moja ya website za shindano limeandika habari inayomhusu mkali huyo.

“The author of this report called TID to ask for an explanation on what the statement he had written on his wall meant, TID said he meant that since Bongo5.com listed him among favorites who may have better representation for Tanzania this year and many people supported with only a few people saying he was not, he decided to consider participating in the show, ” imeandika website hiyo.

Soma habari nzima hapo chini.

https://bigbrotherafrica.com/tanzanians-tid-for-bba-8/