Goldie kuanzisha reality TV show yake

Mwakilishi wa mwaka jana wa Nigeria kwenye shindano la Big Brother Africa, Goldie anatarajia kuanzisha Reality TV show yake.

Goldie anaanzisha show hiyo  iitwayo 'Tru Friendship’.

 'Tru Friendship' itaonesha maisha ya kila siku ya muimbaji huyo wa Skibobo, Goldie, yote kama mtu maarufu na kama Susan Harvey.

Show hiyo itaanza kuonekana mwishoni mwa mwezi huu.