Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2012

Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2012

Fatilia kuhusu tuzo kubwa za muziki nchini Tanzania ''Kilimanjaro Music Awards'' ambapo mwaka huu zimefanyika tarehe 14-04-12 katika kumbi za Mlimani city jijini Dar es Salaam. Fatilia matukio katika picha kwa hisani ya''Michuzi'' https://michuzi-matukio.blogspot.se/2012/04/kili-music-awards-2012-ndani-ya-mlimani.html