Kim Kardashian na Kanye West wapozi ‘utupu’ kwenye jarida la L'Officiel Hommes la Ufaransa

Kim Kardashian na mpenzi wake Kanye West wamepiga picha za utupu zitakazoonekana kwene jarida la Ufaransa la L'Officiel Hommes

Katika picha hiyo black and white Kanye anaonekana akiwa amemshika kimahaba mpenzi wake huyo mjamzito ambaye uso wake unaonekana katika mahaba mazito.

Hivi karibuni wapenzi hao walidai kuwa wanategemea kupata mtoto wa kike.