Listen and Download ''Baadae'' Ommy Dimpoz new song

 

Ladies and Gentlemen, kijana huyu Alianza  muziki  kama Back Vocalist wa Machozi Band, ila saizi kasimama mwenyewe kama Solo artist, He goes by da name of Ommy Dimpoz…yep, ni kweli ana dimpozi & that's why amepewa jina hilo alilo nalo na ambalo analitumia katika tasnia ya muziki..Isikilize ngoma yake mpya hii hapa BAADAE, gonga News Kusikiliza

Thank ya and Enjoy.