Mzuka Magazine laingia mtaani likiwa na Ommy Dimpoz kwenye cover

Jarida la kila mwezi la Mzuka limeingia mtaani. Jarida hilo la burudani linaongozwa na cover story ya Ommy Dimpoz aliyefunguka kuhusiana na masuala kibao yakiwemo muziki, maisha na mapenzi. Mzuka linauzwa kwa bei ya shilingi 1,000 tu. Jipatie nakala yako sasa.