NAFASI 2 KWENDA MAREKANI KWA WATANZANIA WENYE VIPAJI VYA KUIMBA/KURAP KUTOKA KWA ALEX KAJUMULO

NAFASI 2 KWENDA MAREKANI KWA WATANZANIA WENYE VIPAJI VYA KUIMBA/KURAP KUTOKA KWA ALEX KAJUMULO

Tangazo kwa Watanzania wenye vipaji katika tasnia ya muziki '' Nitatoa nafasi mbili kwa waimbaji kati ya miaka 18-25, wa kike na kiume. Wakiume anayeweza kuimba na kurap na wakike anayeweza kuimba vizuri. Sharti, Wote wawe wanajua kuimba Kiswahili na Kingereza kwa ufasaha na wawe na pasipoti halali za kusafilia. Tumeni sauti zenu (Akapela/Demo) kwa email: alex@kajumulousa.com. Kumbuka; sauti na rap ziwe za ukweli na muimbe wimbo wa Marijani Rajabu-Zuwena. Nataka kuwasaidia wanamuziki wa kitanzania wenye vipaji kuja kufanya kazi na mimi na kuwatangaza kimataifa kama nilivyomleta Cool James Mtoto Wadandu. Naitaji izo Demo kabla ya mwisho wa mwezi wa tano mwaka huu. Na ntakaowachagua nitawalipia gharama za usafiri kutoka Tanzania na kuwadhamini viza za kufanyia kazi ya muziki hapa na gharama zote za maisha kipindi cha project hapa Marekani /USA. Kumbuka, nitafanya usaili mimi mwenyewe, ntakaowachagua mimi ndo hao washindi'' -Alex Kajumlo a.k.a Babu Kaju

NB: Tuma demo/akapela kabla ya June 1st 2012 kwa email : alex@kajumulousa.com

Kazi kwenu sasa, nafasi ndo hiyo ya kipekee, msiichezee!!!