New Music: C-Sir Madini ft Josefly - Ndagu

Hii ni kazi mpya kwa mwaka huu ya msanii C-SIR MADINI inayoitwa NDAGU akiwa amemshirikisha JOSEFLY.

NDAGU ni neno la kisukuma linalomaanisha Kafara, hivyo story ya wimbo huu inazungumzia watoto wa familia moja walioamua kuukataa utajiri wa familia yao, baada ya kugundua utajiri huo umetokana na baba yao kumtoa kafara mdogo wao mmoja. Ni wimbo wenye ujumbe unaogusa maisha ya watu wengi.

Udownload hapa: https://soundcloud.com/mdau-halisi/c-sir-madini-ft-josefly-ndagu

 

Song Details:

 

Artist: C-SIR MADINI feat. JOSEFLY

Song: NDAGU

Written by: C-SIR & JOSEFLY

Produced by: Amba & Kid bway

Studio: Tetemesha Records

 

Contacts: 0756 829084

               0712 719004