New Music: Feza Kessy - Amani ya Moyo

Hii ni ngoma mpya ya mrembo aliyewahi kuwa Miss Dar City Centre, Feza Kessy ambaye kwa sasa yupo chini ya kampuni ya AY, Unity Entertainment. Ngoma hii yenye mahadhi ya zouk imetengenezwa na mpishi wa midundo Ben Mwamba na mixing kufanywa na Marco Chali. Sikiliza ama download ngoma hii hapa:

https://soundcloud.com/mdau-halisi/fezza-kessy-amani-ya-moyo