Ney WaMitego amuita Nikki Mbishi Shoga

Rapper wa Tanzania Ney wa Mitego afunguka na kuzungumzia issue kibao ikiwamo bifu zake na baadhi ya wasanii wenzake na anavyowaimba watu. Anamchukulia Nikki Mbishi kutoka Tamaduni Music kama shoga anaetafta pakutokea na kachoka. Ney kasema yeye anaongea ukweli na sio matusi na anawapenda sana mashabiki zake na atazidi kuwakalisha sana kuanzia kwenye show na kutoa ngoma kali. Msikilize hapa mwenyewe akizungumza : soundcloud.com/ncha-wanna-be/nay-2