Nocoz Ft BouNako-KAZI

Nocoz are back again, this time wakimshrikisha mtu mzima BouNako toka N2N- Arachuga. Wakiwa wamekaza ile mbaya ndani ya beat ya Samtimber na vocals/mixing kasimamia Defxro pande za NOIZMAKAH PRODUCTION. Pini linakwenda kwa jina la ''KAZI''. Ikiwa ni kazi kweli ya Swahili Hip hop hardcore yenye elimu, maake inazungumzia ugumu wa maisha na vikwazo vya kizembe vinavyopelekea watu mbalimbali wengi wao wakiwa vijana kufilisika kimaisha. Gonga hii link kusikiliza hili pini/ Click this link to listen this song:https://soundcloud.com/janbkiwia/nocoz-ft-bounako-kazi-noiz  Pia support Tanzania' New Era Music by Sharing/Like/Tweet JANBONLINE LINK:) //JanBMultimedia