Picha: Uzinduzi wa video ya Press Play - AMBASSADORS LOUNGE, DSM

Weekend hii timu nzima ya B'Hitz ilifanya uzinduzi wa video mpya ya wimbo wa Dj Choka aliowashirikisha Mabeste, Gosby, Mrap na Vanessa Mdee pande za Ambassadors Lounge jijini Dar es Salaam. Video hiyo iliongozwa na kutengenezwa na Nisher.

Hizi ni baadhi ya picha hizo.