Picha za Kim Kardashian alipotua Lagos, Nigeria

"Thank you for the amazing time Nigeria! I can't wait to come back soon," ametweet Kim Kardashian baada ya kumaliza show iliyopewa jina la Love Like a Movie iliyofanyika jana jijini Lagos Nigeria. Kim alikuwa amealikwa kuwa host mwenza akisaidiana na mwanamuziki wa R&B, Darey. Hizi ni picha za Kim alipokuwa akiwasili Lagos.