Radio na Weasel wapanga kuachia albam nne kila mwaka!

Ulishawahi kujiuliza kwanini kila siku Radio na Weasel wa Uganda wana nyimbo mpya? Kwao linawezekana kwasababu wana stock ya nyimbo nyingi mpaka wanashindwa wazipeleke wapi na ndio maana wamepanga kuachia albam nne kila mwaka!

“Radio and weasel to release 4 albums every year. Talent at its best,” wametweet jana.

Pia wiki hii wasanii hao wameshoot video tano kwaajili ya mwaka huu. “WE SHOOTING FIVE NEW VIDEOS THIS WEEK...THREE ALREADY DONE TWO MORE TO GO.......GOODLYFE PROJECTS 2013.”

Leo wanatarajia kuachia nyimbo mbili na video moja, "we releasing two hot songs this week- Crusify and Ekyama.....and a brand new video...GoodLyfe project 2013 we wont stop."