Simu Bandia Kuzimwa Nchi Nzima-Tanzania

Miezi kadhaa imepita tangu mamlaka ya mawasiliano nchini Kenya kufanikisha zoezi la kuzizima simu zote bandia. Nchi nyingine za Afrika Mashariki sasa zafuata nyayo za Kenya. Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inatarajia kuzizima simu zote bandia ili kudhibiti wimbi la uingizaji wa simu zinazohatarisha usalama wa mtumiaji na mapato ya Taifa. Kwa habari zaidi soma hapa katika hii link: www.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/6441-simu-bandia-kuzimwa-nchi-nzima //JanB Multimedia