Tanzania Diaspora Scandinavia (TANZANISKA RIKSFÖRBUNDET) April 28th 2012

Tanzania Diaspora Scandinavia (TANZANISKA RIKSFÖRBUNDET) April 28th 2012

 

CHAMA CHA WATANZANIA SWEDEN (TANZANISKA RIKSFÖRBUNDET)
 
Kina wakaribisha Watanzania na Marafiki wote kwenye sherehe ya ufunguzi wa chama cha watanzania. Chama chetu kitafunguliwa rasmi na Mh. Balozi Muhammed Mwinyi Haji Mzale. 

Sehemu / Place: Tanzania House, Nässby Allé 6 Täby, Stockholm Sweden
Tarehe: 28th April 2012
Wakati / Time:  15:00-17 hrs Saa tisa mchana mpaka saa kumi  na moja jioni. 
 
Tunashukuru sana iwapo tutapata uthibitisho wako wa kuhudhuria kwa email: tanzanianswe@hotmail.com
 Wote mnakaribishwa! 
 Mwenyekiti : Seynab Haji na Katibu : Angela Wilbard
email: 
tanzanianswe@hotmail.com
Mobile: 0706 50 88 23

Visit  The Embassy of Tanzania in Nordic countries & Baltic States : https://www.tanemb.se/