VIDEO MPYA YA AJ UBAO & LINAH SANGA ISHAPAKULIWA BADO KULIWA..

Nyepesi zimelifikia dawati la Janboline kwamba wapenzi wa muziki wa kizazi kipya wakae mkao wa kutupia matonge ya burudani machoni kwani usiku wa jumapili ya tarehe 24/6 ndani ya Maisha Club Da'slam na Lux Lounge  Washington DC utafanyika uzinduzi wa video mpya ya AJ UBAO aliyofanya na Linah few days ago alipokuwa states kwa ziara za kimuziki.

Nyepesi hizo ambazo pia zimegongwa katika site za Bongo5 zimeingia deep na kusema kuwa video hiyo ya wakali hawa wawili itazinduliwa ndani ya siku moja.

Unataka kujua zaidi? Tembelea pande hizi hapa https://www.bongo5.com/xclusive-photoslinah-na-aj-kuzindua-video-yao-mpya-jumapili-06-2012/