NEWS

Kanye West kupiga show Afrika Kusini Feb 2

Rapper wa Marekani Kanye West anatarajiwa kupiga show nchini Afrika Kusini tarehe 2 mwezi February, 2013. Mshindi huyo wa tuzo kibao atapiga show moja tu mjini Johannesburg.Tiketi za kuingia kwenye...

—————

Wasanii Tanzania waendelea kuumizwa na mfumo wa Digitali

Idadi ya wasanii wanaoendelea kuuponda mfumo wa digitali imeendelea kuongezeka. Tayari wasanii kibao wakiwememo Belle 9, Ney wa Mitego, Keisha na Ben Pol wamezungumza kuhusiana na jinsi mfumo huo...

—————

Jennifer Lopez: Maisha yangu yaliharibika baada ya kuachana na Marc Anthony

Mwanamuziki wa Marekani Jennifer Lopez  anasema alijisikia kama maisha yake yote yameenda mrama baada ya kuachana na mume wake, Marc Anthony. Muimbaji huyo mwenye miaka 43 ambaye kwa sasa ana...

—————

Nokia 1100 ndio simu iliyouzika zaidi duniani!!

Wakati ambapo soko la simu limefurika simu za kila aina, ni bora kufahamu simu gani iliyowahi kuuzika zaidi duniani ambao si nyingine zaidi ya  Nokia 1100. Huenda wewe ni miongoni mwa watu...

—————

Roma asimulia jinsi jina lake lililivyomsaidia kutoporwa na kukatwa mapanga na vibaka

Roma ni miongoni wa wasanii wa Hip Hop wanaoutumia vyema mtandao wa Facebook kueleza masuala mbalimbali kuhusu muziki na mambo yake binafsi. Jana amesimulia jinsi alivyosalimika kuporwa na vibaka...

—————

Justin Bieber na R.Kelly kufanya collabo?

Picha inaongea zaidi ya maneno 1,000 lakini ikiwa ni picha ya Justin Bieber na R. Kelly, kunaweza kusiwe na maneno ya kutosha kuielezea. Je! JB  na Pied Piper wanaweza kuwa na mpango wa kupiga...

—————

Serikali kupunguza gharama za simu kwa asilimia 69 kuongeza ushindani

Serikali ya Tanzania inafikiria kupunguza viwango ambavyo makampuni ya simu hutozana yenyewe kwa asilimia 69 kuanzia March mwaka huu katika jitihada za kuongeza ushindani. Kwa mujibu msemaji wa...

—————

One the Incredible kuja na mixtape mpya

Rapper wa Tamaduni Muzik, One the Incredible anatarajia kuachia mixtape yake mpya hivi karibuni. Kupitia Twitter One aliandika: Mixtape yangu mpya inakuja.... fuatilia - THE DEMOTAPE.... YA ILLMATIX...

—————

Big Brother Africa 2013 yanukia, yaanza kupokea maombi

Msimu wa nane wa shindano la Big Brother Africa unatarajia kuanza mwezi May mwaka huu. Tayari vijana wanaovutiwa kujiunda na shindano hilo wana nafasi ya kujaribu bahati zao. Mwaka huu nchi 14...

—————

Wahuni wahack page ya Facebook ya Diva!

Hivi karibuni watu wasiojulikana walihack akaunti ya Facebook ya mtangazaji wa Clouds FM, Diva Loveness na kuitumia vibaya. Baada ya kufanikiwa kuirejesha, Diva ameelezea kitendo hicho kwenye website...

—————

Picha za kwanza za mtoto wa Bob Junior

Rais wa masharobaro Bob Junior aka Mr Chocolate Flavour hivi karibuni amekuwa baba mpya mjini baada ya mke wake kujifungua mtoto wa kiume. Hizi ni baadhi ya picha za mtoto huyo.  

—————