NEWS

Video: Mtanzania aliyepita kwenye American Idol 2013

Kijana aliyezaliwa na mama wa Kitanzania na baba wa Kikenya, Sanni M'mairura hivi karibuni aliwaacha hoi majaji wa shindano la American Idol 2013 kwa kuonesha uwezo mkubwa wa kuimba na hivyo kuvuka...

—————

New Video: DJ Choka - Press Play feat Mrap, Gosby, Vanessa na Mabeste

Video imeongozwa na kutayarishwa na Nisher. https://www.youtube.com/watch?v=hohP2LwQrVA

—————

New Video: Shaa - Promise

Hii ni video ya wimbo mpya wa Shaa uitwao Promise. Video imefanywa na Adam Juma wa Visual Lab. Wimbo umeandikwa na Barnaba na producer ni Manecky. https://www.youtube.com/watch?v=IjzlQcyBOfQ

—————

Mtangazaji wa radio wa Tanzania akamatwa na madawa ya kulevya nchini Kenya

Hivi karibuni mamlaka nchini Kenya zilikamata madawa ya kulevya aina ya heroin yenye uzito wa kilo 5.44.Msemaji wa mamlaka ya mapato nchini Kenya (KRA) Kennedy Onyonyi amesema madawa hayo yalikamatwa...

—————

Chris Brown ajifananisha na Yesu

Chris Brown ameamua kujifananisha na Yesu Kristo kwa kupost picha kwenye mtandao wa Instagram inayomwonesha Yesu akiwa msalabani na kuandika "Painting the way I feel today,". Picha hiyo ameiweka...

—————

Video mpya ya MwanaFA yanukia, kushutiwa Bongo na editing kufanyika Afrika Kusini

Video ya track mpya ya MwanaFA aliyowashikilisha Man Dojo na Domokaya pamoja na Kilimanjaro Band inatarajiwa kuanza kushootiwa kesho jijini Dar es Salaam. Director wa video ya wimbo huo...

—————

Inspekta Haroun aja na ngoma aliyomshrikisha Dully Sykes

Umepita muda mrefu kidogo tangu Inspekta Haroun aka Babu atoe wimbo wake mwenyewe. Na sasa amerejea tena na ngoma hii mpya aliyomshirikisha Dully Sykes, Ashura. Isikilize hapa:...

—————

Picha: Nyumba ya dola milioni 6 ambayo Beyonce anataka kumnunulia mama yake

Hizi ni picha za mjengo ambao muimbaji wa R&B, Beyonce ameripotiwa kuwa anataka kumnunulia mama yake,  Tina Knowles, 58. Supastaa huyo mwenye miaka 31, anasemekana kuwa anaitaka nyumba hii...

—————

Brand New Hit: Shaa - Promise

Download wimbo mpya wa Shaa - Promise hapa: https://www.hulkshare.com/xu7u78owwsg0

—————

Breaking News: Mahakama kuu ya Tanzania yamwachia Lulu kwa dhamana

Habari zilizotufikia hivi punde zinadai kuwa Mahakama kuu ya Tanzania imemwachia kwa dhamana msanii wa filamu nchini Tanzania, Elizabeth Michael aka Lulu aliyekuwa mahabusu katika gereza la Segerea...

—————

MTV Base waitambulisha rasmi 'Money' ya AY kwenye Spanking New

Hatimaye video ya AY, Money, imetambulishwa rasmi kwenye kituo cha runinga cha burudani cha kimataifa MTV Base. Money imetambulishwa wiki hii licha ya kutoka tangu mwishoni mwa mwaka jana. MTV Base...

—————