NEWS

‘Wengi hawana vipaji bali wanategemea uchawi’ asema TID

Mnyama TID amefunguka kuizungumzia ‘indirectly’ scandal inayomzunguka hitmaker wa Kesho, Diamond ya kupata mafanikio kwa kutumimia waganga wa kienyeji. Kupitia Twitter Top in Dar ambaye jina lake...

—————

Kim Kardashian kuhost show ya 2face, Flavour na Ice Prince jijini Lagos

Mchumba wa rapper Kanye West, Kim Kardashian anatarajiwa kutua nchini Nigeria mwezi huu. Mrembo huyo na staa wa Reality TV show atakuwa mshereheshaji mwenza pamoja na msanii wa Darey kwenye concert...

—————

New track VIINI MACHO-Solo Thang feat Chidi Benz

Ngoma mpya ya Solo Thang Ulamaa kamshilikisha Chizi Benz inaitwa Viini Macho. Imetengenezwa na J-Ryder wa Tongwe Records.Isikilize na Ipakue hapa: www.hulkshare.com/7rkc3a97uwao //JanB Multimedia

—————

Wasanii watakaotumbuiza kwenye fainali ya kombe la mataifa Afrika watajwa

Michuano ya wiki tatu  ya kombe la mataifa ya Afrika, Orange AFCON,  inayoendelea nchini Afrika Kusini inatarajia kumalizika Jumapili hii kwenye uwanja wa taifa wa nchi hiyo mjini...

—————

Avril kuachia video ya ‘Hakuna Yule’ kwenye Valentine’s Day

Mwanamuziki wa nchini Kenya Avril maarufu kwa ngoma yake Kitu kimoja, amepanga kuachia video ya wimbo wake mpya Hakuna Yule kwenye Valentine’s Day. Akitajwa kama msanii wa kike mrembo zaidi nchini...

—————

Izzo B ashangilia kurekodiwa wimbo na Master J

Huenda Izzo B ameshafanya kazi na maproducer karibu wote wakubwa lakini si Master J. Mara zote alipokuwa akirekodi nyimbo MJ Records producer aliyefanya nyimbo zake ni Marco Chali. Jana ilikuwa ni...

—————

Sauti za Busara yanukia, bado siku 7 tu!

Zimekabi siku saba tu hadi lile tamasha kubwa  la muziki barani Afrika la Sauti za Busara lianze. Maandalizi yanaendelea kwenye viwanja vya Ngome Kongwe  visiwani Zanzibar. Tamasha hili...

—————

New Music: Brown wa NBA ft T-Nock - Rangi ya Makopa

Brown Wa NBA ni msanii anayekuja juu katika jiji la mwanza na kanda ya ziwa kwa ujumla ambaye pia ni kiongozi wa kundi la "NBA Money KAKA ZAO" pia alieleza kirefu cha (NBA) kuwa ni (National Bysir's...

—————

FastJet yakanusha kufungiwa leseni yake nchini

Kampuni ya ndege ya Fast Jet imezikanusha ripoti kuwa imenyang’anywa leseni yake ya biashara katika nchi kadhaa barani Afrika ikiwemo Tanzania.Kupitia website yake kampuni hiyo imeandika: Licha ya...

—————

Wimbo mpya-Bosco "Better Day"

Msanii Kinda toka Outburst Gangstaz ya A-City, Wise D "BOSCO", Aja na track mpya BETTER DAY. Producer: Grandmaster Records. Listen and download hapa: www.hulkshare.com/wees5fb9jls0 //JanB...

—————

2013 African Magic Viewer's Choice Awards

Africa Magic Viewer’s Choice Awards (AMVCA) nominees were announced that the end of January and voting is open until 3 March 2013. Voting can be done on the web, or also via sms or wap. The winners...

—————