NEWS

Wabunge wa Uingereza leo kuupigia kura muswada wa ndoa za jinsia moja

Wabunge nchini Uingereza baadaye leo wanatarajiwa kupigia kura mswaada unaruhusu ndoa za jinsia moja. Hatua hii inaungwa mkono sana na waziri mkuu David Cameron lakini inapingwa vikali na wanacahama...

—————

Chameleone ahama kwenye nyumba yake ya Seguku kuhofia usalama wa familia yake

Hivi karibuni Chameleone alikuwa kwenye uchunguzi wa tukio la mauaji kijana aitwaye Robert Karamagi aliyekufa nyumbani kwake. Mtu huyo alidaiwa kuvamia kwenye nyumba yake kwa lengo la kutaka kumuua...

—————

Goldie kuanzisha reality TV show yake

Mwakilishi wa mwaka jana wa Nigeria kwenye shindano la Big Brother Africa, Goldie anatarajia kuanzisha Reality TV show yake. Goldie anaanzisha show hiyo  iitwayo 'Tru Friendship’.  'Tru...

—————

Picha: Uzinduzi wa video ya Press Play - AMBASSADORS LOUNGE, DSM

Weekend hii timu nzima ya B'Hitz ilifanya uzinduzi wa video mpya ya wimbo wa Dj Choka aliowashirikisha Mabeste, Gosby, Mrap na Vanessa Mdee pande za Ambassadors Lounge jijini Dar es Salaam. Video...

—————

New Music: Kigoma Allstars waja na ngoma mpya, 'Nyumbani'

Baada ya mwaka jana kufanya vizuri na ngoma yao Leka Dutigite, Kigoma Allstars wamekuja tena na wimbo mpya uitwao Nyumbani. Usikilize hapa:...

—————

New Music: C-Sir Madini ft Josefly - Ndagu

Hii ni kazi mpya kwa mwaka huu ya msanii C-SIR MADINI inayoitwa NDAGU akiwa amemshirikisha JOSEFLY. NDAGU ni neno la kisukuma linalomaanisha Kafara, hivyo story ya wimbo huu inazungumzia watoto wa...

—————

Wanafunzi wa Kike Watumia Mitandao ya kijamii Kujiuza

Leo hii gazeti la Mwananchi limechapisha habari kuhusu madhara ya utandawazi na jinsi gani siku izi inavyotumika vyuoni na mabinti wengi katika biashara ya ngono. Mitandao iyo ni pamoja na facebook,...

—————

Nicki Minaj anusurika kukamatwa mjini Dubai baada ya kumkumbatia polisi

Nicki Minaj amezungumzia jinsi alivyokaribia kukamatwa mjini Dubai kutokana na kumkumbatia ofisa wa polisi. “Nilienda Dubai. Kidogo nijikute kwenye matatizo makubwa kwasababu wanaume wa Dubai...

—————

Nuru The Light: Watu hawajamtendea haki Mama Kanumba

Mwanamuziki wa Tanzania aishiye nchini Sweden, Nuru The Light kupitia blog yake ameandika waraka kuhusiana na safari yake ya kwenda kumuona mama yake na Steve Kabumba na kusema watu hawajamtendea...

—————

50 Cent alitetea penzi la Rihanna na Chris Brown

50 Cent amewatetea Chris Brown na Rihanna walioamua kurudiana na kusema kuwa watu waache kumsonga Chris kwa kumpiga Rihanna mwaka 2009. Muimbaji huyo 'Diamonds' Rihanna aliliambia jarida la Rolling...

—————

Dully Sykes ajitolea kusaidia wasanii wakongwe waliopotea kwenye muziki

Msanii na producer wa Bongo Flava, Dully Sykes amesema amedhamiria kuwasaidia wasanii wenzake walioanza muziki pamoja ambao kwa sasa wamepotea. Kwa kuanza, Dully amemchukua Inspekta Haroun ambaye...

—————