NEWS

PRETTY GIRL MUSIC VIDEO on ViOTV AFRICA

Wassup Tanzania, East Africa and all over the world! New Swahili rapper/Pop/House & Techno artist ''JanB" is LIVE on ViO AFRICA TV with the Urban Love HIT PRETTY GIRL featured an RnB...

—————

A.Y on VOLT-ChannelOTV

Mambo vipi Tanzania, East Africa na Africa. Tanzania Rapper A.Y a.k.a mzee wa Commercial anaekimbiza na wimbo/video ya ''Party Zone'' na kuipeperusha vizuri Bendera ya 255-Tanzania katika level ya...

—————

Sylvester Stallone alaumiwa na mpwa wake kufuatia kifo cha mwanae

  Mpwa wake na Sylvester Stallone, Edd Filiti, amemlaumu nyota huyo wa Hollywood kwa kifo cha mtoto wake wa kiume Sage Stallone, akidai kuwa kamwe alikuwa hapokei simu ya mwanae. Edd...

—————

50 Cent: Kama kuna mtu anayemchukia Frank Ocean basi ni mjinga

  Baada ya Jay-Z, Busta Rhymes, Beyonce na wasanii wengi wengine kumuunga mkono mwanamuziki wa kundi la Odd Future, Frank Ocean kuamua kujitangaza kuwa ni ‘gay’, 50 Cent naye ameamua kusema...

—————

BBA StarGame: Mshindi kutoka Upville ama Downville?

  Zikiwa zimesalia siku 17 tu mpaka kufikia fainali ya shindano la Big Brother Afrika kumpata mshindi, mpaka sasa ni ngumu kujua kama atatoka Upville ama Downville. Upville ambao mwanzoni...

—————

Young Squage-''Who's At The Door''

First of all let's Congrats Stockholm's Swag Bwoys ''Young Squage'' to sign with SONY MUSIC! Hongera sanaa! Najua kutakuwa kuna Watanzania wengi na watu kibao Afrika ambao hawatambui kuwa Sweden ni...

—————

D’banj amsainisha Jay Sleek kuziba pengo la Don Jazzy

  Hatimaye D’Banj amepata producer wa kuziba pengo la producer na partner wake wa zamani Don Jazzy. Jay Sleek ambaye ni miongoni mwa maproducer bora kabisa nchini Nigeria, amesaini mkataba...

—————

Nikki Mbishi apuuzia wazo la kufanya club banger

  Wazo la kufanya club banger bado halijapata nafasi kwenye akili ya Nikki Mbishi aka Baba Malcom ambaye ameendelea kusimamia misingi anayoiamini ya Hippop hata kama muziki hautampa...

—————

Hakuna mtanzania aliyemo kwenye Afribiz charts!!

Imetushangaza kidogo tulipogundua kuwa hakuna hata wimbo mmoja wa msanii wa Tanzania aliyepo kwenye  chart ya Afribiz!  Wengi watakuwa hawazifahamu hizi chart lakini zina heshima kubwa...

—————

Tom Cruise kulipa dola milioni 10 za Child Support

  Muigizaji wa filamu Tom Cruise atalipa dola milioni 10 za kusaidia kumlea mtoto wake Suri mwenye miaka sita aliyezaa na mke wake wanayeachana Katie Holmes. Wanandoa hao walitangaza...

—————

Baada ya kuishi bila simu, Kanye West aamua kununua kwaajili ya kuongea na Kim tu!

  Hatimaye Kim Kardashian ana uhakika wa simu yake kupokelewa kila ampigiapo mpenzi wake Kanye West. In fact, ni yeye pekee ndiye mwenye namba ya simu ya Kanye. West, 35, hapendi...

—————