NEWS

Zitto Kabwe aiomba serikali kuwasaidia wasanii dhidi ya unyonywaji wa jasho lao

  Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe ameiomba serikali ya Tanzania kuhakikisha kuwa inachukua hatua mahsusi za kulilinda jasho la wasanii. Zitto ambaye hivi karibuni amejichukulia sifa...

—————

Beanie Sigel kwenda jela miaka miwili kwa kukwepa kulipa kodi

  Rapper wa zamani wa label ya Roc-A-Fella Records Dwight Grant aka Beanie Sigel amehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela kwa kosa la kukwepa kulipa kodi. Kutokana na hukumu hiyo...

—————

Justin Bieber ashtakiwa na aliyehudhuria Concert yake

    Justin Bieber anashtakiwa na msichana aliyehudhuria concert yake anayetaka alipwe dola milioni 9.23 kwa madai kuwa kelele za umati uliohudhuria umeharibu usikivu wake. Stacey...

—————

ALEXIA

From France, she goes by da name of Alexia, Beautiful and talented.   She is a singer and she play guitar since she was a kid . Alexia also learned to play drums...

—————

Jennifer Lopez kuitosa American Idol

  Mwanamuziki na mrembo Jennifer Lopez jana ameonesha dalili kubwa kuwa ataitosa American Idol kama jaji. Katika interview aliyofanya na kipindi cha Today,JLo amesema ni muda wa kwenda...

—————

Wale wa Maybach Music huenda akapiga show nchini Kenya

  Rapper mwenye asili ya Nigeria aishiye nchini Marekani Wale anaweza kwenda nchini Kenya kupiga show. Kwa mujibu wa interview aliyofanyiwa Buddha Blaze wa kampuni ya Spark Africa na...

—————

Soggy atamani kufanikiwa kama AY, Sugu na Profesa Jay

  Rapper mkongwe nchini Tanzania, Anselm Ngaiza aka Soggy Doggy, amesema anajivunia kuona mafanikio ya wenzake wanaofanya muziki na kazi ya utangazaji kama yeye. Soggy ambaye pamoja na...

—————

Ordinally-Jogoo Kichaa (Jambo Squad)

  Hii ni track Mpya toka kwa mmoja wa vijana wa kundi zima la Jambo Squad wanaotambulika zaidi kwa hits zao kama Wakusindikiza,Temana na mimi,Ngastuka,Mamong'oo na disco malapaa. Huyu chalii...

—————

Naziz kuwa jaji wa shindano la Rap la Nokia

  First lady wa hip hop wa Kenya, Naziz ataongoza panel ya majaji maceleb wa hip hop kwenye raundi ya kwanza ya usaili wa shindano la ‘Don’t Break the Beat’ la Nokia. Nazizi atachagua wakali...

—————

SINGITA GRUMETI RESERVES in Tanzania-Best Hotel in the World

The Singita Grumeti Reserves in TANZANIA  (Best Hotel in the World 2011/12) offers an unparalleled eco-safari teeming with magnificent wildlife encounters on the western corridor of the...

—————

Broke: Mali za Young Buck kupigwa mnada mwezi huu

  Mashabiki wa Rap nchini Marekani wana matumaini ya kumiliki baadhi ya mali za rapper wa zamani wa kundi la G-Unit, Young Buck kwakuwa baadaye mwezi huu vitapigwa mnada na mamlaka ya mapato...

—————