NEWS

Penzi la Justin Bieber na Selena Gomez bado moto

  Justin Bieber na mpenzi wake Selena Gomez hawajapigwa picha wakiwa pamoja kwa muda sasa lakini kutokana na ripoti zilizoenea wiki iliyopita kuwa uhusiano wao upo matatani wameamua...

—————

BBA: Prezzo aangua kilo wakati wa Diary session

Mfalme wa Bling aka Masai Warrior, Prezzo wa Kenya leo amejikuta akiangua kilio kama mtoto mdogo wakati wa diary session na Biggie. “Nina hasira nyingi moyoni mwangu,” alisema Prezzo aliyekuwa...

—————

Missy Elliot aishitaki kampuni ya kuuza magari

Rapper na producer Missy Elliot anaishtaki kampuni ya kuuza magari ya jimboni Illinois kwa madai kuwa gari lake aina ya Lamborghini brand new linashikiliwa na kampuni hiyo licha ya kuwalipa hela...

—————

20 Percent awekwa lock-up Zanzibar

  Msanii wa Bongo Flava mwenye matatizo mengi 20 Percent amejikuta mikononi mwa polisi kwa mara nyingine tena lakini awamu hii ni visiwani Zanzibar. Chanzo cha yote hayo ni kukataa kupanda...

—————

K-Lynn na Zitto Kabwe waipa shavu ngoma ya Kigoma All Stars

  Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe na Miss Tanzania wa zamani ambaye pia ni mwanamuziki Jackline Ntuyabaliwe aka K-Lynn wamewapongeza wasanii wa wenye asili ya Kigoma kwa wimbo wao wa...

—————

Kenya na Tanzania zamwokoa Prezzo

  Tanzania na Kenya ni nchi pekee zilizomwokoa Prezzo na panga la eviction jana.  Kenya ambako ndiko Prezzo anatokea, imempigia kura zaidi mtu wao ili kuendelea kumwekea uhakika wa...

—————

Exclusive: Floyd Mayweather Sr. kumtrain Drake ama Chris Brown kwa pambano lao

  Kama Drake akikikubali ofa ya dola milioni 5 kuzichapa na Chris Brown, rapper huyo kutoka Canada, atapewa mafunzo na legend wa masumbwi . Mtandao wa RumorFix umebaini kuwa promoter wa...

—————

BRAND NEW MUSIC VIDEO-''MISS TANZANIA''

Check out brand new Music video MISS TANZANIA from Tanzanian rapper SOLO THANG  a.k.a Ulamaa. The song is Dope with strong message. Mwenye masikio na asikie na mwenye macho na aone! Click this...

—————

Fid Q, Diamond, Chameleone, Avril na wengine kuperform kwenye ZIFF

  Lile tamasha kubwa la Zanzibar International Film Festival, ZIFF jana limefunguliwa rasmi. Pamoja na kuwepo na maonesho ya filamu kutakuwepo na burudani mbalimbali kutoka kwa wasanii wa...

—————

Rappers wa Arusha leo kufanya battle na graffiti

  Mamc wa Arachuga leo wanakutana pande za Kijenge juu kupiga battle za hatari na mitindo huru. Wakati wale mamc wakigaragazana kwa mistari, wengine  waliobarikiwa kipaji cha uchoraji...

—————

Mtoto wa kambo wa Usher mahututi kwa kugongwa na boti

  Mtoto wa kambo wa Usher ambaye mama yake ni Tameka Foster, mke wa zamani wa Usher, yupo mahututi baada ya kugongwa na boti (jet ski) kwenye ziwa Lanier huko Georgia Marekani. Mtoto huyo...

—————